TUNAWAPA POLE WAISLAAM WOTE NA WAUMINI WOTE WA KIISLAAM POPOTE WALIPO (HUSUSAN) WAFUASI WA AHLUL-BAIT (A.S) KUTOKANA NA MASAIBU MAKUBWA YENYE KUTIA MACHUNGU NA HUZUNI KUBBWA YALIYOJIRI DHIDI YA IMAM HUSEIN (A.S) NA WAFUASI WAKE KATIKA JANGWA LA KARBALA.

HISTORIA YA MAISHA YA MTUME MUHAMMAD BIN ABDILLAH (S.A.W.W).

E-mail Print PDF

HISTORIA YA MAISHA YA MTUME MUHAMMAD BIN ABDILLAH (S.A.W).

Bismillah Ar-rahmaan Ar-rahiim.

Assalaam Alaikum Warahmatullah Taala Wabarakaatuh.

Maisha ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w) mwana wa Abdullah yako wazi zaidi kuliko yale ya Mitume (a.s) wengine waliomtangulia.

 

Kwa nini? jawabu lake ni kwasababu:

Kadiri wakati ulipokuwa ukizidi kupita ndivyo mabadiliko ya kihistoria,mabadiliko ya vitabu,mabadiliko ya sheria na hata shakhsia zao yalivyozidi kutokea, vyote hivyo vilipotoshwa na hivyo maisha yao kutojulikana vyema.

Kwa hakika hakuna nyaraka zilizopo ispokuwa zile tunazozipata kutoka katika Kitabu Kitukufu cha Dini ya Kiislaam  ambacho ni Qur’an Tukufu ambayo ni maneo ya Mwenyeezi Mungu (s.w) na Maneno ya Mtume (s.a.w) na Watu wa nyumba yake waliotwaharishwa yaani Ahlul bayt wake (a.s).

Kuna historia iliyokuwa wazi na safi kabisa inayozungumzia maisha ya Mtume (s.a.w.w) na kuzibainisha sifa za maisha yake kwa njia safi yenye kuridhisha kabisa.

Mtukufu Mtume (s.a.w.w) ni Mtume wa mwisho ambaye kachaguliwa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuwaongoza walimwengu wote.Hivi sasa ni karne kumi na nne (14) zimepita,katika kipindi hicho yaani karne 14 zilizopita wanadamu walikiishi katika hali ambayo hakuna athari yoyote ile ya Tawhid iliyokuwa ikionekana ispokuwa kutajwa jina tu.

Watu walikuwa wameipuuza tawhid kikamilifu.Maadili na uadilifu vilikuwa vimetoweka kabisa katika jamii ya wanadamu.mwenye nguvu ndiye aliyekuwa akitamba na kuonekana dunia imeumbwa kwa ajili yake peke yake na wengine hawana haki katika dunia hii,ubabe ulitawala kila sehemu.

Kaaba Tukufu ilikuwa imegeuzwa na kuwa sehemu ya kuabudia masanamu na Dini ya Nabii Ibrahim (a.s) ilikuwa imebadilishwa na kuwa ya kuiabudu miungu mbali mbali.Gonga hapa usome zaidi

Comments (6)Add Comment
0
...
written by hassan mussa marandu, June 08, 2011
Asalam alykum nashukuru kwa kutuwekea tovuti hii sina maoni ila nilikuwa naomba ndungu zangu waislam wenzangu tushikamane na kutetea dini yetu dhidi ya mataifa yanayotaka kuuangamiza uislam
0
...
written by chalii, February 07, 2012
Umoja na mshikamano ndio siri ya Ushindi dhidi ya Maadui wa Uislam ,na ndio siri ya Mafaniklio ya Uislaam na Waislaam.
0
...
written by Yusuph, July 23, 2012
Jazakalahu hairan kwakujitahidi kuelimisha umma wa kiislam ALLAH (s.w) ajaalie kilalaheri
0
...
written by Mohamed Hamza Rwizangoga, February 10, 2014
Natangulia kumshukuru Allah kunijalia kuma mwiislam pili kunijalia elimu na macho mawili he he uwezo wakusoma jamboree Allah wakbaru naw anga mono waislam wote Duniani.
0
...
written by shomari miiraji, April 05, 2014
:a


ssalaam aleykum

0
...
written by shomari miiraji, April 05, 2014
:a


ssalaam aleykum


Write comment

busy
Last Updated ( Sunday, 26 February 2012 13:03 )  

Vinaora Visitors Counter

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday705
mod_vvisit_counterYesterday1164
mod_vvisit_counterThis week18385
mod_vvisit_counterLast week33795
mod_vvisit_counterThis month65611
mod_vvisit_counterLast month4391
mod_vvisit_counterAll days1038213

We have: 14 guests, 2 bots online
Your IP: 174.129.80.166
 , 
Today: Apr 19, 2014

Picha za Maulamaa

 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow

Picha Mbalimbali

 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image

قُل هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ - Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee

Mkumbuke M/Mungu (s.w)

Kuna faida ipi ya kumkumbuka Mwenyeezi Mungu (s.w)?."Ukitaka kujua". soma zaidi

Maoni ya wasomaji wetu

Yanga yapiga bao
Chuma Salehe nayopa@Sio haram kutizama mpira wala kuusikiliza kwa redio wala kuucheza.
Yanga yapiga bao
Ipi hukumu ya kuangalia mpira katika uislam
KUMSWALIA KULIKO SAHIHI BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.
Asalaam aleykum ndugu yangu nieleweshe vizuri mimi bado sijaelewa yaandike yasiyotakiwa yote na yaandike yanayotakiwa yote inshaallah natumai umeniele
Picha za Misikiti ya kihistoria katika Mji Mtukuf
Nimefurahi kuona kumbu kumbu zetu za misikiti

Who's on line

We have 16 guests online

Hakuna kama siku yako Ewe Husein (a.s)